Karibu Kanisani
Join our growing family. Register as a member or check announcements and upcoming events.
Leo Watoto wa Usharika wa Salei / Levolosi wamesherekea Sikukuu ya Miakaeli na Watoto na Msaidi wa Askofu Mchungaji Lareton Loisheye ambaye amesisitiza watoto ni kanisa la baadae hivyo wazazi wajitoe kuwatunza vyema kanisa la baadae
Bwana Yesu asifiwe wapendwa, tunawakaribisha sana katika Ibada ya Jumuiya zetu, Ibada inayoanza saa 12:00 asubuhi. Karibuni sana tumwabudu Mungu wetu.