logo
Welcome to Our Church Add to your home screen for quick access
Tap  then Add to Home Screen
✝

Welcome to Our Church

Karibu Kanisani

Join our growing family. Register as a member or check announcements and upcoming events.

Matangazo

2 matangazo
Tangazo #1
KKKT SALEI
Karibu katika matangazo
🎉 Event 22 July 2026

IBADA YA MIKAELI NA WATOTO YAFANIKIWA LEO USHARIKANI MSAIDIZI WA ASKOFU AONGOZA

Leo Watoto wa Usharika wa Salei / Levolosi wamesherekea Sikukuu ya Miakaeli na Watoto na Msaidi wa Askofu Mchungaji Lareton Loisheye ambaye amesisitiza watoto ni kanisa la baadae hivyo wazazi wajitoe kuwatunza vyema kanisa la baadae

Tangazo #2
KKKT SALEI
Karibu katika matangazo
📌 General 22 July 2026

JUMUIYA ZETU

Bwana Yesu asifiwe wapendwa, tunawakaribisha sana katika Ibada ya Jumuiya zetu, Ibada inayoanza saa 12:00 asubuhi. Karibuni sana tumwabudu Mungu wetu.